Wanariadha wapenya programu ya olimpiki Paris 2024 Wanariadha wanne wamefanikiwa kufikia viwango vya kuingia katika mpango maalumu wa Tanzania, kuelekea michezo ya Olimpiki inayotarajiwa kufanyika nchini Ufaransa 2024. Read more about Wanariadha wapenya programu ya olimpiki Paris 2024