Andre Onana astaafu kuchezea Cameroon Mlinda Mlango Andre Onana Golikipa wa Cameroon, Andre Onana ametangaza kustaafu kucheza soka la kimataifa leo Ijumaa Disemba 23 baada ya kuchezea taifa hilo maarufu kama Indomitable Lions michezo 34. Read more about Andre Onana astaafu kuchezea Cameroon