Madereva walevi Arusha wapewa tahadhari
Mkuu wa kikosi cha usalama Barabarani Mkoa wa Arusha mrakibu wa Polisi SP Solomon Mwangamilo ametoa onyo kwa madereva wanaoendesha magari wakiwa wamelewa huku akisema atakayebainika atachukuliwa hatua za kisheria