Nyota 19 wa Yanga wasafiri kuifata Mtibwa Sugar Msafara wa wachezaji 19, benchi la ufundi na viongozi wameondoka Dar Es Salaam mchana wa leo kuelekea Morogoro, kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa Sugar. Read more about Nyota 19 wa Yanga wasafiri kuifata Mtibwa Sugar