Wanawake,wasichana wabaguliwa Afghanstan
Kundi la Taliban, ambalo lilianza kama kundi la wapiganaji wa Kiislamu lenye msimamo mkali, liliahidi kuheshimu haki za wanawake waliporejea madarakani mwezi Agosti mwaka jana - baada ya kusitisha utawala uliokuepo, wao awali walitawala kutoka mwaka 1996-2001 wakati wanawake hawakuweza.