Askari waliofunga ndoa Desemba 17 wafariki dunia
Wanandoa wawili ambao wamefunga ndoa Desemba 17, 2022, wamefariki dunia jana Desemba 20, kwa ajali ya gari baada ya kulivaa kwa mbele basi la kampuni ya Luwinzo lililokuwa likitokea Ubaruku mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam, katika eneo la Tanangozi mkoani Iringa.