Waziri Mkuu atoa maagizo kwa Wakuu wa wilaya

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza Wakuu wa wilaya kuitisha vikao na wafugaji ili kujadiliana na kuweka namna bora ya kufanya shughuli za ufugaji ikiwa ni pamoja na kutambua mifugo yote iliyoko ndani ya wilaya husika na kuweka zuio la mifugo mingine kuingizwa katika wilaya zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS