Mfanyakazi wa TANESCO anyongwa kwa kamba ya bajaji
Mfanyakazi wa TANESCO mkoani Songwe Angel Shakinyao (33), amefariki dunia baada ya kunyongwa kwa kamba iliyochanywa kwenye bajaji na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia Januari 16, 2023, wakati akirudi nyumbani na mwili wake kutupwa jirani na nyumba anayoishi.