Makamu wa Rais Gambia afariki dunia Hayati Badara Alieu Joof Makamu wa rais wa Gambia Badara Alieu Joof amefariki dunia nchini India alikokua akipatiwa matibabu, rais Adama Barrow ametangaza. Read more about Makamu wa Rais Gambia afariki dunia