Mwanafunzi aliyekatazwa mahusiano ajinyonga
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Masaki mkoani Pwani aitwaye Lasmin Kondo, amefariki dunia kwa kujinyonga mwenyewe kwa kile kilichoelezwa kuwa ni baada ya wazazi wake kumkataza kujihusisha na mapenzi.