Marekani wakiisaidia Ukraine tutajibu - Urusi Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imeionya Marekani kuhusu mpango wake wa kuisaidia Ukraine silaha za kisasa za kulinda anga lake Read more about Marekani wakiisaidia Ukraine tutajibu - Urusi