Wakamatwa kwa kuiba vifaa kwenye daraja la JPM
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashilikia watu 9 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi katika mradi wa reli ya kisasa ya SGR pamoja na ujenzi wa daraja la Kigongo – Busisi maarufu kama daraja la JPM.