Ronaldo kusaini mkataba wa trioni moja
Taarifa kutoka nchini Hispania zinaripoti kuwa mchezaji bora wa dunia mara tano (5) Cristiano Ronaldo anatarajia kusaini mkataba wa miaka 2 na nusu na klabu ya Al Nassr ya Saudia Arabia mwishoni mwa mwaka huu, mkataba utakaomalizika Juni 2025.