Lengo uzalishaji mbolea limetimia - Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema lengo la Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuhakikisha mbolea ya kutosha inazalishwa nchini badala ya kutegemea kuagiza nje limetimia baada ya kiwanda cha mbolea cha Itracom kilichopo Nala jijini Dodoma