Anayetapeli akijifanya mshauri wa Rais akamatwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mwanamke mmoja aliyefahamika kwa majina ya Zainabu Kagoso mkazi wa Dar es salaam (50)  aliyekuwa akijitambulisha kuwa ni mshauri wa Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo ya kijeshi na kutumia njia hiyo kutapeli

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS