Makamba awaonya Wakandarasi wasio waadilifu
Waziri wa Nishati January Makamba, amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy, kutosaini mikataba miwili na kampuni ya ETDCo kutokana na utendandaji kazi usioridhisha.