Wajackoyah ataka wanajeshi wanawake kuvaa hijab
Kiongozi wa chama cha Roots nchini Kenya Profesa George Wajackoyah, amemuomba Rais William Ruto, kuruhusu polisi na wanajeshi wanawake ambao ni waislamu kuvaa vazi la hijab wanapokuwa kwenye majukumu yao.