Wazazi simamieni malezi ya vijana wenu nyumbani Jeshi la Polisi Nchini limewataka wazazi kuwa wasimamizi wa kwanza katika malezi ya vijana wao kipindi wapo nyumbani hata kipindi wanachorejea mashuleni Read more about Wazazi simamieni malezi ya vijana wenu nyumbani