Wanafunzi 1, 073, 941 kujiunga kidato cha kwanza Jumla ya wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 Read more about Wanafunzi 1, 073, 941 kujiunga kidato cha kwanza