Baada ya kutoka Azam, Ajib anukia Singida B Stars Ibrahim Ajib akiwa Azam FC Klabu ya soka ya Azam FC imefikia makubaliano ya kuachana na mchezaji Ibrahim Ajib baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo. Read more about Baada ya kutoka Azam, Ajib anukia Singida B Stars