Wakulima waomba kuwahishiwa mbolea Wakulima mkoani Geita wameiomba serikali kuwawaishia Mbolea kabla ya kilimo zitakazowawezesha kuendana na msimu wa kipindi husika ili waweze kufanya kilimo chenye tija kitakachobadilisha uchumi wao Read more about Wakulima waomba kuwahishiwa mbolea