Kagame imepita, tunaangalia ngao ya jamii - Mkwasa
Mabingwa wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara, Young African wamesema Michuano ya Kombe la Kagame itabakia kuwa historia na hivi sasa wanaangalia zaidi maandalizi ya Ngao ya jamii ambayo ni muelekea wa michuano ya Liugi kuu Soka Tanzania Bara.