Maelfu waandamana kupinga gharama za maisha Maelfu ya waandamanaji waliingia mitaani mjini Dhaka siku ya Jumamosi wakitaka kuvunjwa kwa bunge ili kutoa nafasi kwa uchaguzi mpya, na kushinikiza kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina. Read more about Maelfu waandamana kupinga gharama za maisha