Laini zisizohakikiwa kuzimwa Januari 31/2023 Mamlaka ya Mawasiliano nchini - TCRA imesema ikifika Januari 31/2023 namba za simu ambazo hazitakuwa zimehakikiwa zitazuiliwa kupokea na kutoa huduma za Mawasiliano Read more about Laini zisizohakikiwa kuzimwa Januari 31/2023