Siku ya vipodozi yazinduliwa rasmi Dar es Salaam

Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade)Latifa Khamis

Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade)Latifa Khamis amesema kuwa kuwa kuanzia sasa serikali itafanya kazi na Chama Cha Vipidozi Tanzania (TCA) ikiwa ni katika kuhakikisha wanalinda afya za watumiaji wa vipodozi na sekta ya urembo na watanzania wote kwa ujumla

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS