Iran yanyonga mwingine kwa mara ya pili
Iran imesema imetekeleza mauaji ya pili yanayohusishwa na maandamano ya kuipinga serikali yanayoikumba nchi hiyo. Majidreza Rahnavard alinyongwa "hadharani" mapema Alhamisi katika mji wa Mashhad, mahakama ilitangaza