Wasanii wanaohamasisha bangi kuchukuliwa hatua
Kamishina Jenerali wa kuzuia na kupambana na dawa za nchini, Gerald Kusaya amewaonya wasanii wanaotumia na wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya kupitia nyimbo zao akiahidi hatua kali zitachukuliwa dhidi yao