Kamishna Kusaya ameyasema hayo leo, wakati akizungumza na waandishi wa habari huku pia akibainisha kuwa Mamlaka hiyo imefanikiwa kuwakamata watu wanne wakisafirisha dawa za kulevye, kwenda nje ya nchi
Kamishina Jenerali wa kuzuia na kupambana na dawa za nchini, Gerald Kusaya amewaonya wasanii wanaotumia na wanaohamasisha matumizi ya dawa za kulevya kupitia nyimbo zao akiahidi hatua kali zitachukuliwa dhidi yao