Dkt. Samia na Kinana wapendekezwa CCM
Kamati Kuu ya CCM imempendekeza mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea tena nafasi ya ueyekiti kwa kipindi cha miaka 5 ijayo pamoja na Makamu Mwenyekiti anayemaliza muda wake Ndugu Abdulrahman Kinana kugombea tena miaka 5