Wasioona waomba Kondom zenye maandishi nukta nundu Watu wenye ulemavu wa kuona mkoani Mbeya wamedai kukosekana kwa maandishi ya nukta nundu kwenye mipira ya kiume (kondom) kunawaweka kwenye hatari ya kupata magonjwa ya zinaa na mimba zisizotarajiwa Read more about Wasioona waomba Kondom zenye maandishi nukta nundu