Poshy Queen aweka wazi mahaba yake kwa Marioo Mrembo Poshy Queen akifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari Mrembo anayetishia na shepu yake nchini Poshy Queen ameweka wazi kumpenda msanii Marioo katika ufanyaji kazi wake pia ndio msanii wake bora kwa mwaka 2022. Read more about Poshy Queen aweka wazi mahaba yake kwa Marioo