Nigeria yabadili lugha ya kufundishia Serikali ya Nigeria imetangaza sera inayolenga kukuza ufundishaji wa wanafunzi wa shule za msingi kwa lugha za kizawa badala ya Kiingereza. Read more about Nigeria yabadili lugha ya kufundishia