Kisima cha uchochoroni chaua mtoto
Elina Amos (4), mkazi wa mtaa wa Nyerere Road, Halmashauri ya mji Geita, amefariki dunia kwa kutumbukia kwemye kisima kilichopo uchochoroni wakati akitembea kuelekea dukani alipokuwa ameagizwa na mama yake majira ya saa 4:00 asubuhi ya leo Januari 13, 2023.