Yanga,Simba dimbani Disemba 9 kombe la FA

Droo ya kombe la shirikisho la Azam Sports Federation hatua ya 64 bora imechezwa Jumatano ya Leo Novemba 30, 2022 jijini Dar es Salaam ambapo timu 64 zitachuana vikali kuwania kombe la michuano hiyo kuanzia disemba 9 hadi 10 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS