Bodaboda walalamikia kituo bubu cha Polisi
Madereva pikipiki maarufu kama bodaboda jijiji Mwanza wamelalamikia uwepo wa kituo bubu cha Polisi kinachotumiwa na askari Polisi wasio waaminifu kwa ajili ya kujipatia fedha kinyume cha sheria huku wakiwabambikia faini na kuwalazimisha bodaboda hao kulipa bila kuwapa stakabadhi