Wanaume watakiwa kutoa taarifa wakifanyiwa ukatili
Katika kipindi cha miezi 10 halmashauri ya wilaya ya Geita imepokea taarifa 26 za vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto, huku ikiwaomba wanaume kutoa taarifa kwani wengi wao wamekuwa wakiona aibu kutoa taarifa hizo na kusababisha kukosa takwimu sahihi ya ukatili wanaofanyiwa.