Wananchi wamkataa mwenyekiti kwa tuhuma za rushwa
Wananchi wa mtaa wa Nyanza, kata ya Kalangalala iliyopo halmashauri ya mji Geita wameiomba serikali kumtoa madarakani mwenyekiti wa mtaa huo Sijaona Selemani ambaye ana tuhuma za ubadhilifu wa shilingi milioni 300 na kushindwa kusoma mapato na matumizi kwa wananchi kwa muda wa miaka mitatu