Mikopo 'umiza' kilio kwa wajasiriamali

Mwanne Mohamed, mama n’tilie

Wafanyabiashara wa maeneo mbalimbali nchini wameiangukia serikali, wakiomba kufikiwa na mikopo ya Halmashauri ili waachane na mikopo umiza ambayo imekuwa ikiua biashara zao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS