Taarifa 32 za rushwa Rukwa zatua TAKUKURU
Taasisi ya kupambana na kuzuia Rusha (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imesema imepokea kesi 54 kati ya hizo taarifa 32 zinahusu rushwa kutoka katika taasisi mbalimbali za umma na binafsi katika kipindi cha miezi 3 ambao ni mwezi Julai hadi Mwezi Septemba 2022