Waliopanda Mlima kilimanjaro wapongezwa
Waziri wa Maliasili Balozi Dkt. Pindi Chana, amewapongeza viongozi na wananchi walioshiriki kupanda Mlima Kilimanjaro wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Eliamani Sedoyoeka, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru tarehe 9 Desemba, 2022.