Rais wa zamani Comoro jela maisha Mahakama nchini Comoro imemuhukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela rais wa zamani wan chi hiyo Ahmed Abdallah Sambi kutokana na makosa ya a uhaini. Read more about Rais wa zamani Comoro jela maisha