Shule ya Makamba yapungukiwa wanafunzi
Licha ya serikali kutoa elimu bure lakini idadi ya wanafunzi waliojiandikisha kujiunga na darasa la kwanza kwa mwaka 2023 katika shule mbili za msingi za Yusuph Makamba iliyopo Temeke na Mpakani iliyopo Kata ya mabibo imeelezwa kushuka tofauti na mwaka jana.