Morogoro yashika namba tano vifo vya mama na mtoto
Mganga mkuu mkoa wa Morogoro Kusirye Ukyo amesema mkoa huo umeweka malengo ya kupunguza vifo vya mama na mtoto kwa asilimia hamsini huku akieleza kuwa mkoa huo unashika nafasi ya tano kwa vifo hivyo nchini