TRA Geita yaombwa kuwatazama wachimbaji wadogo
Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigella ameiomba mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani humo kushirikiana na wizara ya madini pamoja na wizara ya Fedha kufanya Tathmini ya pamoja ili waweze kuja na mapendekezo sahihi ya ukadiriaji wa kodi kwa wachimbaji wadogo