Afrika yarekodi kiwango cha juu cha ukatili Umoja wa Mataifa unasema kwamba Wanawake na wasichana barani Afrika wako katika hatari kubwa ya kuuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamilia wengine, zaidi ya mahali pengine popote duniani. Read more about Afrika yarekodi kiwango cha juu cha ukatili