Makamu wa Rais Malawi akamatwa kwa madai ya rushwa Taarifa kutoka shirika la kupambana na ufisadi nchini Malawi zinasema kwamba polisi nchi hiyo wanamshikilia makamu wa rais wa nchi hiyo kufuatia madai ya rushwa. Read more about Makamu wa Rais Malawi akamatwa kwa madai ya rushwa