Rais wa Ufaransa aendelea kushinikizwa ajiuzulu Aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa Ufaransa, katika hatua ya kushangaza, amemtaka Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ajiuzulu kuinusuru nchi hiyo kutumbukia zaidi katika mzozo wa kisiasa. Read more about Rais wa Ufaransa aendelea kushinikizwa ajiuzulu