Rais wa Ecuador anusurika kifo

Rais wa Ecuador Daniel Noboa amenusurika kifo baada ya gari lake kushambuliwa alilokuwa akisafiria kusini mwa nchi hiyo. Shambulio hilo limekuja huku kukiwa na maandamano makali ya watu wa asili

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS