Serikali kutowavumilia Watakaochezea mifumo.

Waziri wa nchi ofisi ya Rais menejiment ya utumishi wa umma utawala bora Jenister Mhagama

Serikali Imesema haitamvumilia mtu,watendaji ama taasisi mbayo itakwamisha au kuchezea Mifumo ya serikali mtandao ikiitaka bodi ya serikali mtandao kuepuka rushwa katika utendaji kazi wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS