Azizi Ki, Diarra kuwavaa Mbeya City kesho kikosi cha Yanga jumamosi ya Novemba 25 ,2022 kinashuka dimbani kuvaana na Mbeya City katika uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa ligi kuu Soka Tanzania bara utaochezwa majira ya saa 12:15 jioni. Read more about Azizi Ki, Diarra kuwavaa Mbeya City kesho